President Uhuru's Kenyatta issues a statement on the Westgate mall attack - Chama Cha Watanzania Oslo kinatoa salaam za rambi rambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa waliofiwa kwenye tukio hilo la kikatili. Mwenyezi Mungu Awalaze Pema..Ameen! Kwa Wakenya wote - jamani tuko pamoja kwenye hili tukio la kigaidi
No comments:
Post a Comment