Waziri Mkuu wa Norway, Bi. Erna Solberg
Kiongozi wa Conservative Party
Bi.Siv Jensen, Kiongozi wa Progress Party (Waziri wa fedha)
Leo Jumatano, 16 Oktoba 2013, Norway imepata serikali mpya ya mseto ya chama cha Conservative Party (Høyre = H) na Progress Party (Fremskrittspartiet = FrP). Serikali hii inaongozwa na Waziri Mkuu, Bi. Erna Solberg (wa The Conservative Party).
Ifuatayo ni orodha ya baraza lake la mawaziri:
•Tord Lien (38, Frp) Waziri
wa mafuta na nishati.
• Ketil Solvik-Olsen (41, Frp) Waziri wa uchukuzi.
• Sylvi Listhaug (35, Frp) Waziri wa kilimo na masuala ya vyakula.
• Ketil Solvik-Olsen (41, Frp) Waziri wa uchukuzi.
• Sylvi Listhaug (35, Frp) Waziri wa kilimo na masuala ya vyakula.
• Siv Jensen (44, Kiongozi wa Frp) Waziri wa fedha.
• Solveig Horne (44, Frp) Waziri wa watoto, usawa, ushirikishwaji.
• Anders Anundsen (37, Frp) Waziri wa sheria.
• Robert Eriksson (39, Frp) Waziri wa kazi na ustawi wa jamii.
• Monica Mæland (45, H) Waziri wa biashara na viwanda.
• Vidar Helgesen (45, H) Waziri, Ofisi wa Waziri Mkuu.
• Ine Eriksen Søreide (37, H) Waziri wa ulinzi.
• Thorhild Widvey (57, H) Waziri wa utamaduni na masuala ya makanisa.
• Børge Brende (48, H) Waziri wa mambo ya nchi za nje.
• Bent Høie (42, H) Waziri wa afya.
• Jan Tore Sanner (48, H) Waziri wa serikali za manispaa.
• Elisabeth Aspaker (52, H) Waziri wa masuala ya samaki.
• Torbjørn Røe Isaksen (35, H) Waziri wa elimu.
• Tine Sundtoft (46, H), Waziri wa mazingira.
No comments:
Post a Comment