Thursday, March 01, 2007

Kijana Magne akiwa na Rais

Mtoto huyu Magne aliomba kuuliza swali. Alipopewa kipaza sauti akasema "Mimi naomba kupiga picha na Rais...Alikuwa wa kwanza kupewa nafasi ya kupiga picha na Rais."

No comments: