Thursday, May 24, 2007


Msanii Shani Kitogo akighani kusifia kamusi mpya ya kiswahili kwa shule za msingi ilozinduliwa leo. Kamusi hiyo mpya imezinduliwa na Waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. Muhammad Seif Khatib na sheikh Abdillah Nassir, mmoja wa watunzi watatu wa kamusi mpya ya kiswahili kwa shule za msingi za Afrika Mashariki. Kamusi hiyo imechapwa na Oxford University Press. Kamusi hiyo ya toleo la kwanza imesheheni maneno mengi mapya.


Chanzo cha habari: http://issamichuzi.blogspot.com/

No comments: