Thursday, August 23, 2007

Miss Popularity Tanzania 2007


Vodacom wameandaa shindano la miss popularity litaloenda sanjari na Vodacom miss tz 2007 ambapo mdau unapewa fursa ya kumchagua miss popularity na kujiweka kwenye mkao wa kushinda shilingi milioni 10 endapo utakuwa ulipiga kura nyingi kupitia SMS yenye namba ya mrembo atayeshinda pamoja na tiketi mbili za vvip za kuangalia mchuano huo siku ya Septemba 1 pale lidaz klabu. Pia wapiga kura wengine 1,000 wataokuwa wamepiga kura kibao watapata tiketi 2 za kawaida kila mmoja.

Waandaji wanasema unachotakiwa kufanya ni kutuma sms yenye namba ya mrembo hapo chini kwenda namba 15500 kisha send....inakuwa kitu na boksi

Chanzo: http://issamichuzi.blogspot.com/


No comments: