Hoteli maarufu ya Sea Cliff Dar es Salaam (pichani hapo juu) imeshika moto na kuungua. Kwa taarifa tulizozipata toka Dar es Salaam, ni kuwa moto huo ulianza saa kumi na mbili jioni (18:00 EAT) na chanzo chake hakijajulikana. Hakuna aliyejeruhiwa katika moto huo .
Taarifa toka kwa Dr. Aziz Ahmed Ponary Mlima, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment