Wednesday, September 12, 2007


Ni filamu ambayo ilionyesha mapinduzi ambapo waigizaji wa kibongo walipoenda nchini Nigeria ambako kunaaminiwa wapo juu katika uigizaji katika nchi za kiafrika.

Mtunzi:-Kanumba

Waigizaji:-Mercy Johnson,Nancy Okeke,Bomba Akintoka(Nig),Kanumba,Imanuel Myamba,Mr Manento(TX)

Kanumba anaonekana ni kijana mwenye nidham na heshima na kutokana na hekima zake anaadoptiwa na mzee ambaye anamuamini na kumpa kazi na mwisho anaamua kumtuma Kanumba kwenda kuwasaka wanae waliopo nchini Nigeria akiwa huko anashindwa kuwapata watoto hao kwa kuwa walibadilisha majina na bila kujua anaanza uhusiano wa mapenzi na mmoja wa watoto ha huyo baba ....waliporudi Bongo wanakkuja gundua kumbe wao ni nduguu.....hiyo ndo Dar to Lagos Knowledge before Marriage.


No comments: