Tuesday, September 18, 2007

Ras Nas na album mpya "Dar es Salaam"

Nasibu Mwanukuzi, kwa jina la usanii "Ras Nas"
_______________________________

Msanii Ras Nas anajiweka tayari kufyatua album iendayo kwa jina la Dar-Es-Salaam. Albam hiyo ina traki tisa katika miondoko ya muziki wa dansi, roots na dancehall reggae. Katika kucheki anga imeamuliwa kutoa ruhusa ya ku-download traki ya Dar-Es-Salaam kwa umati kwa bure. More about Ras Nas at http://www.kongoi.com

Chanzo cha habari: TZ Times

No comments: