Watanzania tumekuwa wataifa sanaaa. Kina dada hawa wakiimba wimbo wa taifa huku wamevalia mavazi yenye bendera ya taifa. Toka Taifa Stars imeeanza kushinda, rangi za bendera ya taifa zimekuwa maarufu sana. Tusubiri Jumamosi, Septemba Nane wakati Taifa Stars itakapocheza na timu ya taifa ya Msumbiji "Black Mamba" Taifa Stars wakishinda siku hiyo, sijui Tanzania itakuwaje? (Picha hii ilipigwa kwenye Miss Tourism 2007)
No comments:
Post a Comment