Thursday, January 31, 2008

Africa Cup of Nations 2008

Kundi D


Angola 0

Tunisia 0

Mashabiki wa Angola


Kiungo wa Angola, Nsimba Baptista akijaribu kumzuia mchezaji wa Tunisia.
_____________________

Angola (Palancas Negras/The Black Antelopes) imeingia robo fainali kwa mara ya kwanza, baada ya kutoka sare na Tunisia (The Eagles of Carthage). Tunisia na Angola zinaingia robo fainali kila moja ikiwa na pointi 5. Timu zilikuwa hivi:

Tunisia: Kasraoui, Haggui, Ben Fredj, Zouaghi, Jaidi (Felhi 74), Nafti, Zaiem (Ben Dhifallah 67), Mnari, Mikari, Jemaa (Chikhaoui 80), Chermiti. Marizevu: Abdi, Ben Saada, El Bekri, Ghezal, Mathlouthi, Meriah, Nefzi, Santos, Traoui.

Waliopewa kadi za njano: Jaidi, Jemaa.

Angola: Lama, Airosa (Loco 69), Kali, Yamba Asha, Marques, Macanga, Maurito (Mateus 59), Gilberto, Ze Kalanga (Mendonca 84), Flavio, Manucho. Marizevu: Dede, Delgado, Edson, Figueiredo, Jamba, Love, Machado, Mario, Nuno.

Refarii: Codja Coffi (Benin).


Afrika Kusini 1

Senegal 1


Sibusiso Zuma (Afrika Kusini) katika pilikapilika na wachezaji wa Senegal



Papa Diop (jezi nyeupe, Senegal) akishuti mpira huku amezongwa na mchezaji wa Afrika Kusini
_______________________________

Afrika Kusini (Bafana Bafana) imetoka suluhu na Senegal (Les Lions de la Teranga/Lions of Teranga). Kwa matokeo hayo, timu zote mbili zimetolewa kwenye fainali za mwaka huu.

Senegal: Coundoul, Diatta, Diawara, Ibrahima Faye, Abdoulaye Faye, Sall, Diop (Gueye 52), Ba, Kamara (Sougou 82), Niang (Papa Waigo 59), Camara. Marizevu: Guirane, N'Doye, Beye, Diouf, Mendy, Ndiaye, Sarr, Sonko, Sylva.

Waliopewa kadi za njano: Sall, Ba, Gueye.

Mfungaji wa goli: Camara dakika ya 37.

Afrika Kusini: Josephs, Masilela, Mokoena, Morris, Moon (Davids 80), Modise, Tshabalala, Moriri (Chabangu 71),Van Heerden, Dikgacoi, Zuma (Fanteni 90). Marizevu: Evans, Fernandez, Fransman, Khune, Mhlongo, Mphela, Nhlapo, Pienaar, Walaza.

Aliyepewa kadi ya njano: Tshabalala.

Mfungaji goli: Van Heerden dakika ya 14.

Refarii: Alex Kotey (Ghana).


Robo fainali

Jumapili tarehe 3 Februari: Ghana vs. Nigeria, mjini Accra

Jumapili tarehe 3 Februari: Guinea vs. Ivory Coast, mjini Sekondi

Jumatatu tarehe 4 Februari: Angola vs. Misri, mjini Kumasi

Jumatatu tarehe 4 Februari: Kameruni vs. Tunisia, mjini Tamale.


No comments: