Why Tanzania why?
Kutoka:
"The Tanzanian Electronic Networking Community"
Members´Email/mailinglist: <list@tanzanet.org>
Jamani mpaka lini? when will this end? So Lowassa quits and claims chuki za cheo, Mwanyika na Hosea bado wanapeta na wanakataa kuwajibika, na kila siku kuna habari mpya kudhihirisha kuwa Richmond ilikuwa ni bomu kubwa na machozi ya Raisi kumtetea Lowassa yanaanza kuonekana kuwa yalikuwa ya kenge kutughairi Watanzania.
Hosea kadiriki kukalia ushahidi muhimu ambao ungeliokoa Taifa kuingia gharama za kijinga za IPTL eti anafungua kesi ambayo mpaka leo ni yeye pekee anaijua.
Mwanasheria Mkuu anadai hausiki na uhujumu, je si jukumu la ofisi ya Mwanasheria Mkuu kupitia mikataba yote ya serikali na kuiidhinisha?
Tunaposema Kikwete aamke, wengine humu ndani mnasema tunamuonea hatumpi nafasi na eti mbona Nyerere, Mwinyi na Mkapa walifanya mengine mabovu!
It is absurd to anyone that we continue to have leadership in our country that is not being respected by people who are appointed to provide techinical support, advice and help Rais to execute his mission.
The question will now become, what is President Kikwete's mission and vision to lead our country?
Is his mission to lead us a nation to prosperity, defeating ujinga, umasikini na maradhi and build strong national unity where people of Tanzania are proud of their country, their leadership and they can enjoy fruits of their labor and natural resources?
Or his mission is to provide a plartform and perfect opportunity to a few group of operatives whose objective is to rip our wealth for self interest and interest of those who are there to milk us down to the last drop with no hope or a chance of survival and enjoyment of our freedom, natural resources and sweat of our labor?
Kwa nini tuaendelea kuwa na viongozi na watendaji wabovu ambao kuna ushahidi tusha kuwa wamefanya uzembe wa hali ya juu ambao unatishia usalama wa Taifa letu kwa kuruhusu uhujumu wa uchumi na mali zetu?
http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=5999
16.03.2008 1429 EAT
Kikwete alidanganywa kuhusu Richmond
No comments:
Post a Comment