Ahmed Khalfan Ghailani ”Fupi”
kushtakiwa Marekani
Jana serikali ya Marekani imetangaza kuwa Ahmed Khalfan Ghailani, mwenye asili ya Pemba atashitakiwa kuhusiano na mashambulizi ya Ubalozi wa Marekani, mjini Dar es Salaam mwaka 1998. Ghailani amekuwa akishikiliwa huko Guantanamo Bay muda mrefu sasa.SAN JUAN, Puerto Rico - The U.S. has charged a Guantanamo prisoner with war crimes for the deadly 1998 al-Qaida attack on the American embassy in Tanzania.
The Pentagon said Monday that Ahmed Khalfan Ghailani could receive the death penalty if convicted by a military tribunal at the U.S. military prison.
The charges against Ghailani include murder and attacking civilians for his alleged role in a bombing that killed 11 people and wounded hundreds.
He is the 15th person charged in the military tribunals at Guantanamo, where trials are expected to get under way in late spring or early summer.
Hii ni kweli haina uhusiano na siku ya wajinga duniani.
Bofya BBC News (31 Machi 2008
No comments:
Post a Comment