Ufisadi wa Samwel Sitta
Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa Bunge ni msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem - Mr Misifa. Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana Naibu Spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye mwenye Bunge? Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita Bunge eti ni chombo cha kidemokrasia!
Tumebaini kwamba Sitta amekuwa akijimiminia sifa nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa nafasi yake. Angalia uchafu huu:-
- Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya
masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.
- SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi Milioni Mbili (2,000,000/=) aliyotumia kwa tiba kila wiki.
- Amekuwa akilazimisha hawara yake wa Hospitali ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa 'per diem' kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 (Siku 50). Huo ni Ufisadi mkubwa!
- Anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye anaishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.
- Pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa)ambaye anaishi Kinondoni (Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.
- Vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe 'bowser' la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.
- Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!
- Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku - 'sacrifice' kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya Kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!
7 comments:
wewe ulie post hii kitu naona kazi yako ni ku copy na ku paste hujui lolote watu,wakiandika ujinga pahali popote wewe unaweka mtandaoni utakuja sutwa !!!hujui kuwa ni watu wa richmonduli ndio wanaojaribu kumpaka matope spika ?
uwe unasoma magazeti yalionda shule sio magazeti ya umbea tu
ngoja nikuwekee links usome uone wenzako wenye akili wanavyobadilishana mawazo kusuhu swala zima na jinsi gani ofisi ya bunge inavyosema http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/4/9/habari1.php
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11086&page=3
http://www.thisday.co.tz/News/3780.html
Wewe uliye andika hii comment ni kibaurua, kibaraka tena choka mbaya na utaishia pabaya. waliokutuma mafisadi wakubwa walio umbuliwa na huyu sitta. sisi wananchi tutasimama na sitta hadi mwisho ila mwisho wenu umefika, hata mseme nini hamtabadilisha fikra na ukweli ulio wazi ambao wananchi wanaushuhudia kwa macho yao na uelewa wao. Nyie mafisadi wa richmond, epa, ticts, nssf, dahaco, ardhi, tanesco mwisho wenu umefika.
hii article imeandikwa na wayahudi, freemasons, jesuits and all those who work for the zionists.
Nia na kusudi lao ni kuharibu nchi zote duniani, ili baadaye waweze kutawala duni hii.
Hivyo kumbukeni wote wanaoharibu na kuleta fitina wote ni vibaraka wa kihayahudi.
nyie makubwa jinga wawili hamjui lolote,ukizingatia mnaishi nje ya bongo ndio kabisa bebeni maboksi mkirudi bongo ndio mtajua ya bongo,akili zenu hazina akili mnashabikia habari hata the original source wa hiyo story hamumjui.swali langu kwenu nyie makubwa jinga wawili ni kwamba tajeni source wa habari hizo !!!!!!!kazi yenu ni ku copy na ku paste tu,kwanza kabla sijaendelea ningejua umri wenu ndio ningewapa manen mazito siajabu nyinyi ni wa miaka 20+ kidogo.
mabox kweli nyiyi
YAP YAP HAO JAMAA WAJINGA MNO HAWAYAJUI YA BONGO WANAPIGA KELELE TU,HAWAJUI WATU WALITEMESHWA ULAJI,NA ITAWAUMA MILELE,KWA HIYO WATAFANYA LOLOTE KUHARIBU JINA LA CHANZO WA ALIYEWEZESHA KUTEMWA KWENYE KIBARUA
nyie mnaopenda kujibujibu na kujiona baab kubwa angalieni, msiwe puppets. Kama nyie sio wazungu basi nyie wayahudi, na kama nyie sio hao basi ni watz wapotofu.
AIIIBBuuu
Hizi habari nimeziona kwenye TANZANET
MAILINGLIST na huko lazima kuwa mwanachama ndo´unaweza kusoma habari zinazosambazwa na wanachama wa humo. Tovuti yao ni:
http://www.tanzanet.org
Post a Comment