Friday, May 30, 2008

AYA ZA AYAH

Ubinafsi wa vyama na

wagombea binafsi



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.



Mpenzi Frank,

Haya Bwana utasema nini hapo? Juzi napigiwa simu tena na lishangingi moja eti ni mpenzi wako! Eti na yeye ana kundi lake ambalo litanitwangilia mbali nikiendelea na wewe! Hebu niambie ukweli Bwana. Hata kama ni wa zamani hakuna mahusiano kabisa? Ulikuwa naye au bado unaye?



Bofya na endelea kusoma....

No comments: