Wednesday, May 21, 2008

Balozi asema watu wa nje hawawezi kuinusuru Zanzibar


Uingereza yaionya

CUF


na Christopher Nyenyembe, Mbeya

UINGEREZA imeungana na mataifa mengine mawili ya Ulaya ya Ubelgiji na Ujerumani katika kutoa maoni yake kuhusu hatima ya mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar.

Hata hivyo, tofauti na ilivyo kwa Ujerumani na Ubelgiji, nchi hiyo ya Uingereza imeonyesha dhahiri kukinyoshea kidole Chama cha Wananchi (CUF) ikikitaka kuacha kuyategemea mataifa ya nje katika kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo la kisiasa Zanzibar, ambalo limedumu tangu mwaka 1995.

Msimamo huo wa Uingereza ulitangazwa jijini Mbeya jana na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Philip Parham wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Endelea kusoma kwa kubofya hapa.....




No comments: