Friday, May 30, 2008

Mshindi wa

”So you think you dance:

Scandinavia”


Mona Jeanette Berntsen, msichana wa miaka 18 toka Norway ameshinda jana na kuwa mshindi kwenye mashindano ya kudansi miondoko mbali mbali ya mziki. Shindano hilo "So you think you can dance: Scandinavia, lilikuwa na washindanaji toka Norway, Sweden na Denmark. Limekuwa likionyeshwa kwenye TV Norge kwa wiki kadhaa. Mona alikuwa mcheza dansi wa mwanamziki Mira Craig wa Norway/Marekani. Mona amepata zawadi ya Kroner 500.000,- (laki tano) sawa na T.shs. 126.500.000,- (mia moja ishirini na sita milioni na laki tano)




Sorry folks! The interview is in Norwegian...

No comments: