Wednesday, September 03, 2008

Hadhi ya

Kwa nini

Jakaya Kikwete

amegonga mwamba?



Edward Kinabo

WIKI chache zilizopita, mjadala uliokuwa umefungwa kwa muda, ulifunguka tena. Zamu hii ufunguo uliotumika ni mjadala wa Bunge juu ya hotuba ya Wizara ya Sheria na Katiba, iliyowasilishwa na Waziri Mathias Chikawe.

Rais Kikwete naye katika hotuba yake akajaribu kutoa kauli za kuzima mjadala huu lakini kama ilivyoripotiwa na gazeti hili juzi na jana ni kwamba “JK amegonga mwamba”. Ameshindwa kuwaridhisha Wazanzibari kuhusu hadhi ya Zanzibar.

Bofya na endelea>>>>>


No comments: