Tuesday, September 16, 2008

Na Rashid Mkwinda, Tunduma 

MKAZI wa Tunduma wilayani Mbozi mkoani Mbeya ambaye ni bwana harusi mtarajiwa, Giwel Tiyonge (37) amefanyiwa unyama kwa kufyekwa sehemu zake za siri na mtu asiyejulikana kwa kile kinachoaminika kuwa kinatokana na imani za ushirikina...


No comments: