Sunday, October 19, 2008

Bei ya petroli kwa

lita mjini Oslo,

Jumapili 19 Oktoba





Hii ni petroli stesheni iliyoko Kirkeveien, mjini Oslo. Ndiyo inayouza petroli bei rahisi kuliko zote hapa Oslo, leo Jumapili 19. Oktoba 2008. Kroner 9.99 (shilingi 1886,45). 
Mpiga picha wa Chama Cha Watanzania Oslo alipopita maeneo hayo alikuta foleni kubwa ya magari...Wastani wa bei ya petroli kwa lita leo Jumapili ni Kroner 10.65. 
(sawa na shilingi za Tanzania, 2011, ELFUMBILINAKUMINAMOJA)


No comments: