Thursday, October 02, 2008


CCM 


Serikali ya mseto

inawezekana


Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema serikali ya mseto inawezekana kuundwa visiwani humu ili kumaliza mpasuko wa kisiasa ulioibuka tangu uchaguzi wa mwanzo wa vyama vingi uliofanyika mwaka 1995. 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Saleh Ramadhan Ferouz, alitoa kauli hiyo wakati wa mahojiano maalum na Nipashe kuhusu utekelezaji wa maazimio ya hoja ya kuundwa serikali ya mseto kama yalivyojadiliwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Butiama Machi, mwaka huu. 

``Serikali ya mseto inawezekana ikiwa CUF watakubali kurudi katika meza ya mazungumzo na kujadlili mapendekezo ya CCM ya namna ya kufanya kura ya maoni,`` alisema. 

Bofya na endelea>>>>>


No comments: