Chadema yaibuka
Kidedea Tarime
Pichani ni Mshindi wa kiti cha ubunge jimbo la
Tarime, Charles Mwera ambaye ameibuka
kidedea kwenye uchaguzi huo..
--------------------------
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeshinda uchaguzi wa jimbo la Tarime na kuibuka na kura 34,345 za mgombea Charles Mwera dhidi ya 28,996 za Chama Cha Mapinduzi (CCM), na mgombea wake Christopher Kangoye
UBUNGE:
CHADEMA - 34,545
CCM - 28,996
NCCR-MAGEUZI - 949
DP - 305
UDIWANI
CHADEMA - 4,820
CCM - 3,239
Habari toka kwa mdau
No comments:
Post a Comment