Jakaya Kikwete:
*sasa ni mawe kwa kwenda mbele
*Alianza Mtikila akapopolewa,Wazee EAC wakapopoa gari, Walimu wakapopoa viongozi wao, Simba wakapopoa nyumba ya Dalali, UDOM wakapopoa majengo,Hata msafara wa Rais ukapopolewa.
Na Waandishi Wetu
MAZUNGUMZO ya watu katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam, sasa yanaonekana kutekwa zaidi na mazungumzo yenye sura ya mijadala isiyo rasmi ya tathmini za utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, Dar Leo limebaini.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa mazungumzo hayo yamekuwa yakiibuka maofisini, ndani ya mabasi ya daladala, vijiweni na hata misibani ambapo hujikuta wakiingia kwenye mijadala hiyo, kutathmini matukio mbalimbali yanayojiri kwenye utendaji wa Serikali ya Rais Kikwete na mustakabali wa nchi. Bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment