Tuesday, October 28, 2008

Je, tutafika kweli?


Baadhi ya wanafunzi katika darasa hili huko Zanzibar wakisoma huku wamekaa kwenye sakafu kutokana na upungufu wa madawati. Picha na Mdau Mrocky Mrocky



No comments: