Monday, October 20, 2008

Stabæk mabingwa wa

Norway mara ya kwanza

kwenye historia yao!




Timu ya Stabæk imechukua ubingwa wa soka nchini Norway, kwa mara ya kwanza katika historia yao! Stabæk jana imeifunga Brann ya Bergen kwa goli 1 - 0. 


No comments: