Theluji ya kwanza
yaanguka kusini na
mashariki ya Norway
kwa vishindo!!!
Walioathirika ni waendesha magari (kama hiyo picha hapo juu inavyoonyesha) waliokuwa wanasubiri hadi wikiendi hii ili wabadili matairi ya majira ya Kiangazi na kuweka matairi ya theluji. Magari mengi yamekwama barabarani leo kwa sababu hayakuwa na matairi yanayostaili. Theluji imeanguka nyingi na kulikuwa na utelezi!!!
No comments:
Post a Comment