Waziri Membe apigia
debe OIC
2008-10-24 09:56:58
Na Muhibu Said
Azma ya Tanzania kutaka kujiunga na Jumuiya ya Kimataifa ya Nchi za Kiislamu (OIC), imezidi kupata nguvu, baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kuwataka Watanzania waondokane na woga wa kuiogopa jumuiya hiyo.
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Membe alipozungumza na waandishi wa habari, makao makuu ya wizara hiyo, jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni siku moja baada ya Naibu wake, Balozi Seif Ali Iddi, kukaririwa na gazeti hili jana akiweka bayana kuhusu azma hiyo. Bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment