Wednesday, November 26, 2008

Ule usemi wa hayawi hayawi, mwisho huwa, sasa umetimia baada mawaziri wawili wa zamani, Basil Pesambili Mramba, aliyekuwa Waziri wa Fedha na Daniel Ndhira Yona aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini kupandishwa kizimbani kwa ufisadi...bofya na endelea>>>>>

No comments: