Friday, December 05, 2008

Kasi ya kubadilisha wanaume anayodaiwa kuwa nayo Miss Tanzania namba tano mwaka 2006-2007, Irene Uwoya ‘si mchezo’ kiasi kwamba matendo yake kwa sasa wengi wanamfananisha na akina dada wanaojiuza a.k.a machangudoa. Irene ambaye katika siku za hivi karibuni ametokea kuwa muigizaji wa filamu anayepata ‘tenda’ nyingi kutokana na uwezo wake wa kuvaa uhalisia ipasavyo, ripoti zinadai kuwa, mara nyingi ‘akijitwika glasi’ kadhaa kichwani huwa hajui kujilinda mbele ya wanaume wanaomzunguka...bofya na endelea>>>>>

No comments: