Leodgar Tenga
achaguliwa tena
kuiongoza TFF
Leodgar Tenga
Uchaguzi Mkuu wa TFF umekwisha na Leodgar Tenga amefanikiwa kutetea kiti chake na Athmani Nyamlani anakuwa Makamu wake wa kwanza, wa pili anakuwa Nasib Ramadhan.......Tenga amemshinda mshindani wake wa karibu Jamal Malinzi kwa
kura 68 - 39.
No comments:
Post a Comment