Na Makongo Oging
Hali ya kisiasa imebadilika ghafla na kufikia hatua ya baadhi ya wanasiasa, viongozi wa dini na wananhi mbali mbali kuamua kumtumia ujumbe mzito Rais Jakaya Kikwete siku chache baada ya vigogo kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi...
No comments:
Post a Comment