Sunday, February 08, 2009

Polisi wa Madagaska waua

waandamanaji 23



Polisi wa Madagaska wamewaua kwa kuwapiga risasi watu 23 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80 wakati walipokuwa wakiandamana kuelekea ikulu kumpinga Rais Marc Ravalomanana wa Madagaska.







Chanzo cha habari: www.nifahamishe.com


1 comment:

Unknown said...

waaaaaattttt !!!! this is worse than Gadaffi