Tuesday, March 10, 2009



Leo ni siku ya

kukumbuka kuzaliwa

kwa mtume

Muhammad (S.A.W)

tunawatakia mema

Waislamu wote.

 

Chama Cha Watanzania

Oslo.




***************

Wadau...Nimepata data muda si mrefu...
Inasikitisha ila habari ndiyo hiyo
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi leo Jumanne pale katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam amelambwa kofi na Muumini kwa kile kinachoelezwa kama kutetea matumizi ya KONDOMU kwa waumini. Alikuwa akizungumza katika baraza la Maulid lililofanyika jioni hii.

Kwa wale waliohudhuria, basi watupe data zaidi...


No comments: