
Leo usiku wa manane saa 8
kuamkia Jumapili 29 Machi 2009
majira ya Kiangazi yanaanza
Ulaya ya Magharibi
(Central European Time = CET).
Hivyo basi sogezeni saa moja mbele.
Saa 8 za usiku sogeza saa na
kuwa saa 9 za usiku kuamkia
Jumapili 29 Machi 2009.
Kuanzia Jumapili 29 Machi 2009
kutakuwa na tofauti ya
saa moja na saa za Afrika Mashariki
(East African Time = EAT)
No comments:
Post a Comment