Monday, March 02, 2009

Mambo ya Napoli:

ugali kwa maharage,

kamba koche, uduvi.....

Wacha weee!!



Wadau wa Napoli na vitongoji vyake mnakaribishwa TANZANIA CLUB kwa chakula cha mchana. Huu ni mradi uliodhaminiwa na Jumuiya ya Watanzania tawi la Napoli. Menu ni kama hivi:

  • JUMATATU: - UGALI: Utaambatana na mboga za majani,maharage na kuku

  • JUMANNE: - NDIZI na Utumbo

  • JUMATANO:- Wali- njegere, mboga za majani na samaki

  • ALHAMISI:- Ugali- maini, mboga za majani, maharage

  • IJUMAA: - PILAU- (YA KUKU AU NYAMA) Kachumbari na ndizi mbivu.

  • JUMAMOSI:- UGALI ( Mboga zose) maharage,mboga za majani, nyama,samaki,kachumbari nk......

  • JUMAPILI:- SUPU( YA KUKU AU MKIA, NYAMA) & CHAPATI
Mambo yote haya yanapatikana kulekule Charlet Pizzeria(Tanzania club). 



No comments: