Nakaaya
(Bongo Flava)
kwenye CNN
Inside Africa leo

Wadau wa muziki wa kizazi kipya watupie jicho katika kipindi maalumu cha INSIDE AFRICA kitakacho onyeshwa leo, Jumanne 17-03-2009. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwanadada NAKAAYA na mahojiano yake na CNN kuhusu muziki huo, mwelekeo wake! na maana yake.Kila la Heri.
Kutoka kwa mdau Michuzi Junior:
2 comments:
Duh! Huyu mwanadada wamo!!! Angalieni huo mdomo, wooooo!!! wiiiiiiiiii!!!!
Weee "ananymous" manaake hata ujulikane jina lako....inaonyesha wewe kuona tu picha ya Nakaaya, akili yakoo imeruka puuu na kuwaza kitu kimoja tu....wewe mzinzi...acha uzinzi
Post a Comment