
UONGOZI wa Kampuni ya AFRICA MEDIA GROUP LTD, wamiliki wa Kituo cha Televisheni cha CHANNEL TEN na RADIO MAGIC FM, unapenda kuwaarifu wananchi wote kwa ujumla kuwa kuanzia sasa wanaweza kuyapata matangazo ya CHANNEL TEN kupitia SATELAITI ya INTELSAT 906 64E. MASAFA ya 3905.63MHZ, Symbol Rate 2.84835 Msps na FEC 2/3 LHCP.
Aidha kwa sasa wanaweza pia kuyapata matangazo ya Radio MAGIC FM kupitia kwenye Satelaiti hiyo hiyo ya INTELSAT 906 64E. MASAFA ya 3905.63MHZ, Symbol Rate 2.84835Msps na FEC 2/3 LHCP.
Taarifa hii inawahusu wale tu wanaotumia Satelaiti Dish kupata matangazo ya CHANNEL TEN na RADIO MAGIC FM.
Kwa wanaotumia Antena za kawaida kwa Televisheni na wasikilizaji wa Redio hakutakuwa na mabadiliko yoyote.
Kwa maelezo zaidi tuandikie barua pepe kwenda
au tovuti yetu ya
au tupigie simu kwa namba zifuatazo,
0773 299219,
0787 418031,
0713 263902.
AUGUSTINO MGANGA,
MKUU IDARA YA UFUNDI,
CHANNEL TEN/RADIO MAGIC FM.
DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment