Friday, April 03, 2009


Big up

Kuna mtangazaji mmoja wa kituo cha Redio hapa jijini alikuwa katika pita pita zake mtaani akiendesha kipindi chake cha salam mara akakutana na kijana mmoja aitwae Mwika na mazungumzo yao yalikuwa hivi; 


Mtangazaji:Toa big up kwa watu watano uwapendao 


Kijana: Kwanza natoa big up kwa bosi wangu kwa kunifukuza kazi. 


Pili: Nampa big up Mwenye nyumba wangu kwa kunipa notisi. 


Tatu: Nampa big up jirani yangu kwa kutembea na mke wangu.


Nne: Nampa big up mke wangu kwa kunizalia mtoto wa kizungu 


Tano: Nawapenda wote walionisababishia matatizo haya. 


Mtangazaji: Khaaa!...

Kutoka Global Publishers TZ

No comments: