Suala la mafuta ya

na Suleiman Pandu, Zanzibar
Pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuwataka wajumbe wa Baraza kuacha jazba, wawakilishi wamemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Muungano), Muhammed Seif Khatib, kusahau urais wa Zanzibar.
Wamedai kwamba hana maslahi kwa wananchi wa Zanzibar na amekuwa akijipendekeza kutaka urais wa Zanzibar kupitia mgongo wa Muungano. Hayo yalisemwa jana na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wakichangia hoja ya mafuta na gesi asilia, iliyowasilishwa na Waziri wa Maji, Ujenzi, Nishati na Ardhi, Mansoor Yussuf Himid….bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment