Bwege mtozeni
Jamaa mmoja maeneo ya Manzese mafichoni aliwaacha mdomo wazi rafiki zake baada ya rafiki zake kumuona jamaa yao huyo kuwa na maendeleo wakati jamaa huyo hana kazi yoyote ndipo walipoamua kumuuliza:-
Rafiki: Vipi rafiki yetu, mbona siku hizi unanenepa na juzi umenunua, TV pamoja na friji wakati huna kazi yoyote kila siku tunashinda wote kijiweni?
Jamaa wote walibaki midomo wazi kwa kumshangaa swahiba wao huyo...
Kutoka Global Publishers
No comments:
Post a Comment