Wednesday, April 15, 2009

Waziri Mkuu Pinda

DECI batili!



Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema Kampuni ya Development Entrepreneurship For Community Initiative (DECI) ni ya upatu na inaendeshwa kinyume cha sheria za nchi. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jana Dar es Salaam, Pinda alisema kutokana na hali hiyo, timu ya wataalamu kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Soko la Mitaji (DSE) inachunguza ili kujiridhisha na hatua zichukuliwe. Waziri Mkuu alisema hata hivyo tahadhari iliyotolewa na wataalamu hao kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya wateja ni muhimu na kutaka kila mhusika azingatie kwani michezo ya upatu mwisho wake huwa ni mbaya....bofya na endelea>>>>>


No comments: