Friday, June 26, 2009


Brazil yaingia fainali

kwa mbinde,

yaifunga

Bafana Bafana 1 – 0

Goli lilifungwa dakika ya 87 na Daniel Alves kwa kiki kutoka mita kama ishirini limeiwezesha Brazil kuingia fainali za kombe ”Confederation” la FIFA. Fainali za kombe hilo itakuwa baina ya Brazil na Marekani.

No comments: