Sunday, June 14, 2009


DAY IN STOCKHOLM

  

Umoja wetu wa Tanzania ukishirikiana na Ubalozi wetu hapa Scandinavia unapenda kuwakaribisha kwenye tafrija ya pamoja kwa kuwakutanisha ndugu na marafiki wa watanzania kwenye ukumbi wa

TANZANIA HOUSE.

 

Anuani: Näsby Allé 6, Stockholm

Tarehe: 20 june 2009

kuanzia 14.00 - 21.00

 

Vinywaji, vyakula vya kinyumbani pamoja

na nyama choma vitapatikana kwa bei nafuu.

Usisahau tutafurahi kwa muziki wa kinyumbani

( Bongo fleva, Pinda mugongo, Rusha roho, n.k.)

 

NYOOOOOTE MNAKARIBISHWA.

http://kilimanjaroclub.com


No comments: