Saturday, June 27, 2009

Hasheem Thabeet,

Mtanzania wa

kwanza kusajiliwa

NBA. Atachezea

Memphis Grizzlies


Hasheem Thabeet, Mtanzania wa kwanza
kusajiliwa kucheza kwenye NBA.


Kwenye jopo la mchujo wa wasajiliwa kwenye ligi ya NBA, Hasheem Thabeet aliandamana pamoja na mama yake, Rukia Manka, mdogo wake Akbar, familia yake na marafiki zake. Hasheem amesajiliwa na Memphis Grizzlies. Hasheem atakuwa anapata mshahara wa chini ya Dala milioni 12 kwa miaka mitatu ijayo.

Hasheem Thabeet ni Mtanzania wa kwanza kuchaguliwa kucheza kwenye ligi ya mpira wa vikapu ya Marekani, NBA.

Mwangalie Thabeet kwenye tovuti jamii:

twitter.com/hasheemthedream na

Facebook kwenye: facebook.com/HasheemThabeet
















2 comments:

Anonymous said...

Go Thabit go...

Anonymous said...

Congratulation!