Monday, June 22, 2009

Idara ya ujasusi

inatafuta wahandisi

wa rada


Idara ya ujasusi ya Norway (The Norwegian Intelligence Service = NIS), inatafuta wahandisi wa mambo ya rada. Kwa tangazo zima bofya na angalia:

www.finn.no

www.garuda.no

Au mpigie simu Ole Christian Stubberud wa Garuda: +47 415 69 331

Tarehe ya mwisho ya maombi 12. Julai 2009

Tangazo hili limetoka kwenye Aftenposten, Jumapili 21.6.2009 ukurasa 10 (Jobb)

No comments: