Monday, June 15, 2009

L.A. Lakers mabingwa

wa mpira wa vikapu

(basketball) duniani


Kobe Bryant








Klabu ya mpira wa vikapu ya L.A. Lakers wamekuwa mabingwa wa Marekani (Mabingwa wa dunia) kwa mara ya kuwafunga Orlando Magic kwa vikapu 99 kwa 86 kwenye mchezo wa tano wa fainali hizo. Lakers wamewatoa Magic kwa michezo 4 kwa mmoja. Kwa kifupi Lakers wanaweza kujiita mabingwa wa dunia. Nyota wa mchezo kwenye fainali hizo alikuwa Kobe Bryant. Kobe ameonyesha kuwa amekomaa baada ya bifu lake na Shaquille O´Neal kiasi ambacho Shaq aliomba kuondoka Lakers.

No comments: