Sunday, June 21, 2009

Watafiti Waingereza

wataja jinsi

Ahmadinejad

alivyoiba kura



Rais Mahmoud Ahmadinejad siku ya uchaguzi.


Kitengo kimoja binafsi nchini Uingereza kimefichua siri ya uibaji wa kura, uliosababisha Rais Mahmoud Ahmadinejad kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Irani hivi karibu:

Bofya na soma ripoti ya hicho kitengo (iko kwenye PDF)


No comments: