Je, tunahitaji jiwanja
kubwa la ndege?
Nchi ndogo kama Dominican imeweza kujenga uwanja wa ndege mdogo wa kimataifa kama huu. Kuna wenye ngebe nchini Tanzania wanaotaka tujenge jiwanja kubwa la kimataifa kama JKF, O´Hare, Charles De Gaulle litakalokuwa na vikorombwezo kibao. Tunachohitaji ni kiwanja kidogo kizuri kama Punta Cana, kwenye nchi ya Dominica.
No comments:
Post a Comment