Kwani wewe kabila gani?
Ni kawaida sana unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza kukuuliza "hivi wewe ni kabila gani"nauliza tu kwa wewe kujua kabila langu ina kupa faida gani?why tunauliza kabila la mtu ili tuhakiki nini kwa mtu huyo?nilikuwa najiuliza mwenyewe tu lakini naomba unisaidie?
mama wa kimakonde....huyu ukimtazama tu unajua ni kabila gani
Kwa idhini ya dada Dina Marios
No comments:
Post a Comment