Mtoto wa miaka 9
afariki kwa mafua
ya nguruwe
Virusi vya mafua ya nguruwe
Mtoto wa kike wa miaka 9 amekuwa wa kumi na moja kufariki kwa mafua ya nguruwe hapa Norway. Mtoto huyo amefariki leo kwenye hospitali kuu ya Ullevaal mjini Oslo (Oslo Universitetssykehus Ullevaal = OUS)
Chanzo cha habari: http://pandemi.no/pandemi/aktuelt/ni_ring_d_de_av_influensa_614594
No comments:
Post a Comment