Friday, November 13, 2009

Hataki kusema, kama vile angependa

watu wote wamalizane abaki yeye tu.



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,

Hongera sana mpenzi. Naona umepiga hatua kwelikweli katika ujenzi wa nyumba. Hidaya wako sasa anapata matumaini kwamba hivi karibuni tutakuwa pamoja ndani ya nyumba yetu. Raha iliyoje mpenzi. Nami nimekutumia pesa kidogo pia isaidie ujenzi maana nina hamu na ghamu kupita maelezo. Weweeeeeeeeeeeee! Ningefurahi kukuona ukibeba matofali yote hayo!

…..bofya na endelea>>>>>


No comments: